Rais wa Marekani, Donald Trump. Dar es Salaam. Benki ya Capital One Financial imeieleza mahakama, uamuzi wake wa kufunga zaidi ya akaunti 300 zilizokuwa zinahusishwa na Kampuni ya Trump mwaka 2021 ...
Mkuu wa wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe, Zakaria Mwansasu. Njombe. Serikali ya Wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe imetoa onyo kali kwa wananchi wanaoendelea kukaidi agizo la kutovuka mpaka ...
Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Biashara la Afrika Mashariki (EABC), Ahmed Farah (kushoto) na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Balozi Patrick Mbundi katika mazungumzo yao ...
Mahojiano yaliyofanywa hivi karibuni na gazeti la Mwananchi na aliyewahi kuwa Mkuu wa Sekondari ya Makongo, Kanali Iddi Kipingu yametuonyesha pande pindi za shilingi za Afisa huyo wa jeshi mstaafu. Na ...
Rais wa Yanga, Hersi Said na Makamu wa Rais wa klabu hiyo, Arafat Haji wamepata ridhaa kutoka kwa wanachama wa klabu hiyo ya kuongoza tena kwa miaka minne. Hersi na Arafat ambao walikuwa ndio wagombee ...
Bariadi. Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anamringi Macha amesema Maonesho ya Nanenane yanapaswa kuwa shamba darasa la vitendo litakalowawezesha wakulima, wafugaji na wavuvi kujifunza teknolojia mpya, mbinu ...
Kaimu Katibu Mkuu wa Chaumma, Benson kigaila akizungumza na wanachama wa chama hicho katika Kikao cha chama mkoani Mwanza. Picha na PraiseGod Mgumba. Mwanza. Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) ...
Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza nia ya kuwachukulia hatua za kisheria watu wanaojitambulisha kuwa viongozi wa chama hicho bila uhalali, kikidai wamekuwa ...
Dar es Salaam. Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha, ameaga rasmi wakazi wa mkoa huo kwa ujumbe wenye hisia, akimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumuamini na kumpa nafasi ya kuongoza ...
Glasgow. Ndoto ya bondia wa Uganda, Aziz Abdul ya kutwaa medali ya dhahabu katika Michezo ya Jumuiya ya Madola imemalizika kwa kutolewa kwenye mchezo kufuatia kosa la kumpiga kichwa mpinzani wake ...
Watu wanane wamefariki dunia na wengine 66 kujeruhiwa kufuatia ajali iliyohusisha mabasi mawili kugongana eneo la Ibihwa Wilaya ya Bahi, Mkoa wa Dodoma.
Moshi. Geita Gold Mining Limited (GGML) imesema kitendo cha washiriki wake 42 wa kampeni ya GGM HIV Kili Challenge kufika katika kilele cha Mlima Kilimanjaro na kurejea salama kimeipa nguvu kampeni ya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results