Benki ya Stanbic imetoa kiasi cha Shilingi 30 milioni kwa ajili ya udhamini wa mashindano ya mpira wa kikapu ya jamii ya Wachina 2026, yanayofanyika katika viwanja vya Don Bosco, Osterbay, Dar es ...
Mahojiano yaliyofanywa hivi karibuni na gazeti la Mwananchi na aliyewahi kuwa Mkuu wa Sekondari ya Makongo, Kanali Iddi Kipingu yametuonyesha pande pindi za shilingi za Afisa huyo wa jeshi mstaafu. Na ...
Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Biashara la Afrika Mashariki (EABC), Ahmed Farah (kushoto) na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Balozi Patrick Mbundi katika mazungumzo yao ...
Rais wa Marekani, Donald Trump. Dar es Salaam. Benki ya Capital One Financial imeieleza mahakama, uamuzi wake wa kufunga zaidi ya akaunti 300 zilizokuwa zinahusishwa na Kampuni ya Trump mwaka 2021 ...
Bariadi. Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anamringi Macha amesema Maonesho ya Nanenane yanapaswa kuwa shamba darasa la vitendo litakalowawezesha wakulima, wafugaji na wavuvi kujifunza teknolojia mpya, mbinu ...
Kaimu Katibu Mkuu wa Chaumma, Benson kigaila akizungumza na wanachama wa chama hicho katika Kikao cha chama mkoani Mwanza. Picha na PraiseGod Mgumba. Mwanza. Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) ...
Rais wa Yanga, Hersi Said na Makamu wa Rais wa klabu hiyo, Arafat Haji wamepata ridhaa kutoka kwa wanachama wa klabu hiyo ya kuongoza tena kwa miaka minne. Hersi na Arafat ambao walikuwa ndio wagombee ...
Dodoma. Watu wanane wamefariki dunia na wengine 66 kujeruhiwa kufuatia ajali iliyohusisha mabasi mawili kugongana eneo la Ibihwa Wilaya ya Bahi, Mkoa wa Dodoma. Ajali hiyo ilihusisha basi la Kampuni ...
Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza nia ya kuwachukulia hatua za kisheria watu wanaojitambulisha kuwa viongozi wa chama hicho bila uhalali, kikidai wamekuwa ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew.
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha sita uliofanyika Mei 5 hadi 26, 2025. Matokeo hayo yametangazwa leo Jumatatu, Julai 7, 2025 visiwani Zanzibar na Katibu ...
Dar es Salaam. Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema Tuzo za TFF kwa msimu wa 2025-2026, zitatolewa kati ya Desemba 2026, au Januari 2027. Akizungumza jijini Dar ...