Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew.
London, England. Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino anaendelea kujikuta katika wakati mgumu juu ya mpango wake wa kuuza haki za kibiashara za mashindano yake ya Kombe la Dunia ...
Mwonekano wa Uwanja wa Biteko uliopo mkoani Geita, ambao utatumika na Geita Gold FC kama uwanja wa nyumbani katika msimu wa mashindano wa 2026/27. Geita. Timu ya Geita Gold inatarajiwa kufanya tamasha ...
Dodoma. Serikali imezindua mkakati wa miaka 10 unaolenga kuifanya Tanzania kujitosheleza kwa uzalishaji wa mafuta ya kula na hatimaye kuwa muuzaji wa bidhaa hiyo nje ya nchi. Imeelezwa kuwa, hatua ...
Mahakama ya Wilaya ya Nyamagana inaposikilizwa kesi hiyo. Picha na PraiseGod Mgumba. Mwanza. Mahakama ya Wilaya ya Nyamagana, mkoani Mwanza imetoa amri ya mwili wa marehemu Wambura Mambya (54) uzikwe ...
Baadhi ya waombolezaji wakiwa wameanguka kwa kuzimia wakati wakiaga mwili wa Mchungaji Silvanus Msuya(44) katika kanisa la KKKT Usharika wa Shighatini, Dayosisi ya Mwanga.Picha na Omben Daniel Mwanga.
Mie kama rahis mpendeka na msikivu wa Mafyatu nina bonge la soo ambalo nawamegea kidogo tokana ufyatu wa Mafyatu wanaotaka kujifanya kunifyatua wasijue nitawafyatua kiroho mbaya na kifyatufyatu. Kama ...
Dar es Saalam. Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema wameweka kanuni ya kuipoka timu pointi tano ikiwa itagundulika haijatumia vyumba vya kubadilishia nguo bila ...
Engagement Lead for Mwananchi Online. Dar es Salaam. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia Novemba 17, 2025. Matokeo hayo ...
Dar es Salaam. Wizara ya Afya imetangaza mpango wa taifa wa dharura wa miezi sita wa kukabiliana na ugonjwa wa virusi vya Ebola aina ya Bundibugyo (BVD) huku ikitaja mikoa 11 iliyo katika hatari ya ...
Dar es Salaam. Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema Tuzo za TFF kwa msimu wa 2025-2026, zitatolewa kati ya Desemba 2026, au Januari 2027. Akizungumza jijini Dar ...
Dar es Salaam. Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Profesa Sospeter Muhongo amependekeza Tanzania kuelekeza nguvu zake katika sekta sita za kimkakati ili kuharakisha ukuaji wa uchumi, kupunguza umasikini ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results