Naomba Stara ni miongoni mwa nyimbo za taarabu zinazokubalika na mashabiki wa muziki huo, katika eneo la Afrika mashariki na kati ambapo Rahma Machupa ndie muimbaji wa kibao hicho. Ungana na Steven ...
Siti Binti Saad kutoka kisiwa cha Unguja, Zanzibar, aliivunja miko ya Taarab na akawa mwanamke wa kwanza ambaye hajasoma kuimba mtindo huo wa muziki kwa Lugha ya Kiswahili. Siti binti Saad aliishi ...
Miongo miwili mpaka mitano iliyopita Muziki wa mwambao 'taarabu' asili nchini Tanzania ulivuma na kuwapa majina makubwa wanamuziki wake. Mmoja wa wanamuziki hao ni mkongwe Patricia Hillary aliyetamba ...